Kupe (maana)
Mandhari
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Kupe ni jina linaloweza kumaanisha:
- Aina ya mdudu (kupe (arakinida))
- Aina ya samaki (kupe (samaki))
- Kuna msemo pia unaosema 'usiwe kupe'. Katika lugha ya Kiswahili, kupe ni jina linaloashiria mnyama au hata mtu anayefyonya damu ya mwingine au kumtegemea vibaya kwa kila kitu. Kando na kupe anayenyonya ng'ombe, kupe anaweza kuwa mtu au mdudu anayeharibu mmea au mnyama kwa kumnyonya na kumtegemea hadi akapata maradhi au kufa. Mnyama wa aina hii huitwa 'pest' au 'parasite' kwa lugha ya Kiingereza.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]