Kupakua (tarakilishi)
Katika mfumo wa tarakilishi , kupakua (kwa Kiingereza : "to download") ni kupokea data toka seva au tarakilishi mama. Kwa kawaida watu wanaipakua jalada.
Marejeo
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.