Nenda kwa yaliyomo

Kung'u Karumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kung'u Karumba alikuwa mzalendo na mpigania uhuru wa Kenya.

Alikuwa mwanachama wa Kapenguria Six, pamoja na Bildad Kaggia, Jomo Kenyatta, Fred Kubai, Paul Ngei, na Ochieng Oneko.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kung'u Karumba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.