Kumekucha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kumekucha ni filamu ya nchini Tanzania ya mwaka 1987 iliotengenezwa na kuongozwa na Flora M'mbugu-Schelling.[1][2].

Muundo[hariri | hariri chanzo]

Wanawake walisimamia hatima yao kwa kujiwezesha kupitia elimu kuwawezesha kufanya mabadiliko katika jamii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. M'Mbugu-Schelling, Flora (1987). Kumekucha From Sunup. https://www.africabib.org/rec.php?RID=W00083170&DB=w.
  2. Afwc_Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-11-12. Iliwekwa mnamo 2020-10-10.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kumekucha kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.