Nenda kwa yaliyomo

Komunyopamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ekaristi ikitolewa kwa muumini kufani (mchoro wa Alexey Venetsianov, karne ya 19)
Sakramenti za Wakatoliki na Waorthodoksi

Komunyopamba (pia: "masarufu ya njani" na "viatikumu", kutoka neno la Kilatini Viaticum) ni jina linalotumiwa na Kanisa Katoliki kwa ajili ya Ekaristi (pia: Komunyo) inapotolewa kwa mgonjwa mahututi[1].

  1. According to Cardinal Javier Lozano Barragán, "The Catholic tradition of giving the Eucharist to the dying ensures that instead of dying alone they die with Christ who promises them eternal life. "L'Osservatore Romano", gazeti la Vatikano.
  • Rubin, Miri, Corpus Christi: The Eucharist in Late Medieval Culture, Cambridge: Cambridge University Press, 1991.
  • Snoek, C. J. K., Medieval Piety from Relics to the Eucharist: A Process of Mutual Interaction, Leiden: Brill, 1995,
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Komunyopamba kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.