Kliniki ya AAR Chato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kliniki ya AAR Chato inapatikana barabara ya Bagamoyo, Kinondoni, mkoa wa Dar es Salaam. Hospitali hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2007. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]