Klementina Anuarite

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria Klementina Anuarite Nengapeta[1][2] (Wamba, 29 Desemba 19391 Desemba 1964) alikuwa mtawa wa shirika la masista wa Familia Takatifu huko Bafwabaka,[3](leo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo).

Aliuawa mwaka 1964 na Colonel Pierre Colombe, kiongozi mmojawapo wa waasi wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyoitwa Simba revolt, [4]kwa sababu alikataa kufanya naye ngono[5][6].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 15 Agosti 1985.[7]

Ni mwanamke wa kwanza wa Kibantu kupewa heshima hiyo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake, 1 Desemba.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. At birth, she received the name of Nengapeta, which in the language of the Babudu means, “wealth is deceptive.”
  2. "Black Saints", Archdiocese of Chicago. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2016-10-21.
  3. Bienheureuse Sœur Marie-Clémentine Alphonsine Nengapeta Anuarite. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-05-18. Iliwekwa mnamo 2021-01-20.
  4. "Slain Zaire Nun Beatified"
  5. Between the blows she had the strength to say to her attacker: “I forgive you for you know not what you are doing.” She was beaten and bayoneted and then shot to death by Simba rebels on December 1, 1964.
  6. Ostling, Richard N., "Strengthening Spiritual Ties", Time magazine, June 21, 2005. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-08-23. Iliwekwa mnamo 2016-10-21.
  7. Homily of John Paul II (Kiitalia)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.