Kizhuang-Zuojiang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizhuang-Zuojiang ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizhuang-Zuojiang imehesabiwa kuwa watu milioni 1.5 nchini Uchina na watu 340,000 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhuang-Zuojiang iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang-Zuojiang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.