Kizhuang-Yongnan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizhuang-Yongnan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizhuang-Yongnan imehesabiwa kuwa watu milioni 1.8 nchini Uchina na watu 10,000 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhuang-Yongnan iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang-Yongnan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.