Nenda kwa yaliyomo

Kizazao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizazao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wazazao kwenye kisiwa cha Santa Isabel. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kizazao imehesabiwa kuwa watu kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizazao iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizazao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.