Santa Isabel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Santa Isabel ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).

Santa Isabel
Santa Isabel

Urefu wake ni mita 4,950 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]