Kizan-Gula
Mandhari
Kizan-Gula ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wagula. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kizan imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizan iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kizan-Gula kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kizan-Gula
- lugha ya Kizan-Gula katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/zna
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kizan-Gula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |