Kiyuyu
Mandhari
Kiyuyu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayuyu katika majimbo ya New South Wales na Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyuyu, yaani lugha imetoweka kabisa. Uainishaji wa lugha ya Kiyuyu kwa ndani zaidi haujulikani.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyuyu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |