Kiyirrk-Mel
Mandhari
Kiyirrk-Mel (pia Kiyirrk-Thangalkl au Kidangedl) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayirrk-Mel katika jimbo la Queensland. Tangu mwanzoni mwa karne ya 20, wasemaji wa Kiyirrk-Mel walibadilisha lugha yao na kutumia Kiyir-Yoront badala ya lugha yao. Wengine hudai bado kuna wasemaji wachache, wengine husema kuwa hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyirrk-Mel, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyirrk-Mel kiko katika kundi la Kipama cha Pwani. Wengine hukiangalia kama lahaja tu ya Kiyir-Yoront.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyirrk-Mel kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyirrk-Mel
- lugha ya Kiyirrk-Mel katika Glottolog
- lugha ya Kiyirrk-Mel katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyirrk-Mel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |