Kiyetfa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyetfa ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayetfa na Wabiksi. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiyetfa imehesabiwa kuwa watu 1000. Uainishaji wa lugha ya Kiyetfa haujachunguzwa cha kutosha.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyetfa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.