Kiyemba
Mandhari
Kiyemba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wayemba. Idadi ya wasemaji wa Kiyemba imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyemba iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyemba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyemba
- lugha ya Kiyemba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ybb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |