Kiyei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyei ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayei. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiyei imehesabiwa kuwa watu 2390 lakini wengi wameanza kuacha lugha yao, yaani Kiyei iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyei iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.