Kiyaygir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyaygir kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayaygir katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyaygir, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyaygir kiko katika kundi la Kigumbaynggiriki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyaygir kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.