Kiyardliyawarra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyardliyawarra kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayardliyawarra katika jimbo la Australia Kusini na New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyardliyawarra, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyardliyawarra kiko katika kundi la Kiyarli.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyardliyawarra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.