Kiyangman
Mandhari
Kiyangman kilikuwa lugha ya Kigunwingguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayangman katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyangman, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyangman kiko katika kundi lake lenyewe la Kiyangman. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kiwardaman.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyangman kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyangman
- lugha ya Kiyangman katika Glottolog
- lugha ya Kiyangman katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyangman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |