Kiyakoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiyakoma (lugha))

Kiyakoma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wayakoma. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiyakoma nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyakoma iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyakoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.