Kiwiradhuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiwiradhuri ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wawiradhuri katika jimbo la New South Wales. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiwiradhuri ilihesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwiradhuri kiko katika kundi lake lenyewe la Kiwiradhuri.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwiradhuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.