Kiwikngenchera
Mandhari
Kiwikngenchera (pia Kiwik-Nantjara au Kikugu-Nganhcara) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2005, idadi ya wasemaji wa Kiwikngenchera ilihesabiwa kuwa watu 30 tu, na wasemaji wengi wameacha lugha yao ya kwanza na kutumia Kiwik-Mungkan. Kwa hiyo, Kiwikngenchera imo hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwikngenchera kiko katika kundi la Kipama cha Kati.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwikngenchera kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwikngenchera
- lugha ya Kiwikngenchera katika Glottolog
- lugha ya Kiwikngenchera katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwikngenchera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |