Kiwik-Mungkan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwik-Mungkan ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawik katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiwik-Mungkan ilihesabiwa kuwa watu 1060. Tena kuna watu 500 ambao hutumia Kimungkan kama lugha ya pili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwik-Mungkan kiko katika kundi la Kipama cha Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwik-Mungkan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.