Kiwarembori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwarembori ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawarembori. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiwarembori imehesabiwa kuwa watu 600, na wengi wameanza kuacha lugha yao, yaani Kiwarembori iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwarembori iko katika kundi la Kimamberamo ya Chini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwarembori kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.