Nenda kwa yaliyomo

Kiwardandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwardandi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawardandi katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwardandi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwardandi kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kinoongar.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwardandi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.