Kiwapan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwapan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wawapan. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiwapan imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwapan iko katika kundi la Kijukunoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwapan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.