Kiwanyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaanyi (au Kiwanyi) ni lugha ya Kiyanyi nchini Australia inayozungumzwa na Wawaanyi katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2007, kulikuwa na wasemaji wa Kiwaanyi chini ya kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwanyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.