Nenda kwa yaliyomo

Kiwanji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwanji (au Kivwanji) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wawanji. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kivwanji imehesabiwa kuwa watu 28,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kivwanji iko katika kundi la G60.

Mfumo wa Sauti (Fonolojia)

[hariri | hariri chanzo]

Lugha ya Kiwanji ina irabu 7 na konsonanti 27. Pia, tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwanji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.