Kiwangganguru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwangganguru kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawangganguru katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwangganguru ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwangganguru kiko katika kundi la Kikarniki. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kiarabana.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwangganguru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.