Kiwadikali
Mandhari
Kiwadikali kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayarli katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwadikali, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwadikali kiko katika kundi la Kiyarli.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwadikali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwadikali
- lugha ya Kiwadikali katika Glottolog
- lugha ya Kiwadikali katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwadikali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |