Kivute

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kivute (lugha))

Kivute ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wavute. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kivute nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 20,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivute iko katika kundi la Kimambiloidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivute kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.