Nenda kwa yaliyomo

Kivono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivono ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wavono. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kivono imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivono iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivono kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.