Kivili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivili ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Wavili. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kivili nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 7310 na nchini Gabon 3690. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kivili iko katika kundi la H10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.