Kiviid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiviid (pia Kisenggi) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waviid. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiviid imehesabiwa kuwa watu 250, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiviid iko katika kundi la Kipapua ya “Border”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiviid kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.