Kiviemo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiviemo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Waviemo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiviemo imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiviemo iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiviemo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.