Kiusku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiusku ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wausku. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiusku imehesabiwa kuwa watu 110, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiusku haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiusku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.