Kiumon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiumon ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waumon. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiumon imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiumon iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiumon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.