Kiukwuani-Aboh-Ndoni
Mandhari
Kiukwuani-Aboh-Ndoni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukwuani, Waaboh na Wandoni. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiukwuani-Aboh-Ndoni imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukwuani-Aboh-Ndoni iko katika kundi la Kiigboidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiukwuani kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiukwuani
- lugha ya Kiukwuani katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ukw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiukwuani-Aboh-Ndoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |