Nenda kwa yaliyomo

Kiukwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiukwa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukwa. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiukwa imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukwa iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.