Kiukpet-Ehom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiukpet-Ehom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukpet na Waehom. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiukpet-Ehom imehesabiwa kuwa watu 11,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukpet-Ehom iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukpet-Ehom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.