Kityaraity
Mandhari
Kityaraity kilikuwa lugha ya Kidaly nchini Australia iliyozungumzwa na Watyaraity katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kityaraity, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kityaraity kiko katika kundi la Kimalagmalag.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kityaraity kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kityaraity
- lugha ya Kityaraity katika Glottolog
- lugha ya Kityaraity katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kityaraity kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |