Lugha za Kidaly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Daly ni kundi la lugha nchini Australia ambazo huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory karibu na mto Daly. Wataalamu hawakubaliani kama ni familia moja ya lugha au ni familia nne, tano tofauti. Jumla ya idadi ya lugha katika eneo la mto Daly ni 19 hivi, na nyingi zimo hatarini mwa kutoweka au hata zimetoweka tayari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kidaly kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.