Nenda kwa yaliyomo

Kitwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitwe ni jiji la tatu nchini Zambia kwa ukubwa katika suala la maendeleo ya miundombinu (baada ya Lusaka na Ndola) na la pili kwa idadi ya wakazi (baada ya Lusaka) ikiwa na watu 517,543.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kitwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.