Kitupuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kitupuri (lugha))

Kitupuri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun na Chad inayozungumzwa na Watupuri. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitupuri nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 125,000 na nchini chad 104,00. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitupuri iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitupuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.