Kitula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitula ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Watula. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitula imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitula iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.