Kitsuvadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitsuvadi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Watsuvadi. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitsuvadi imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitsuvadi iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitsuvadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.