Kitowei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitowei ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watowei. Mwaka wa 1975 idadi ya wasemaji wa Kitowei imehesabiwa kuwa watu 120, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitowei iko katika kundi la Kipauwasi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitowei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.