Kitonga (Zambia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitonga ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Watonga. Isichanganywe na Kitonga cha Malawi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitonga nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 990,000. Pia kuna wasemaji nchini Zimbabwe. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitonga iko katika kundi la M60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitonga (Zambia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.