Kitonga (Msumbiji)
Mandhari
Kitonga (pia Kiinhambane) ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Watonga. Isichanganywe na lugha nyingine ziitwazo Kitonga nchini Malawi, Zambia, Uthai na Tonga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitonga imehesabiwa kuwa watu 375,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitonga iko katika kundi la S60.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitonga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitonga
- lugha ya Kitonga katika Glottolog
- lugha ya Kitonga kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitonga (Msumbiji) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |